KUTOKA kulia ni Peter Makorongo aliyekuwa mtangazaji wa Redio ya Taifa nchini Tanzania (RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM), katikati ni mwandishi wa Gazeti la Mtanzania na Mhariri wa blog hii ya mpakani.com na FIKRA ANGAVU ONLINE TV na kulia ni Mwandishi mkongwe wa gazeti Mwananchi mzee Lauden Mwambona, walipokutana uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya jana.
WADHAMINI WA BLOG HII NI;-
WADHAMINI WA BLOG HII NI;-